Graduation………!!!
Risala ya wahitimu ikiwa inasomwa vyema mbele ya mgeni rasmi na mbele ya mkuu wa chuo ,
Michezoo na burudani
Mechi nzito dhidi ya Mwaka wa kwanza na Wazoefu wa chuo, ikawa ni pata shika nguo kuchanika baada ya mwaka wa kwanza kuwapa kipigo chakutosha wazoefu wa chuo
LIBRARY /MAKTABA
Chuo cha afya na sayansi shirikishi kabanga wanafunzi na watumishi wakiwa wanapokea vitabu vipya ilikuongeza wigo mpana wa wanafunzi kujisome vyema
SINCE 1960
CONTACT US
- P.o,Box 42 Kasulu,Tanzania
- kabanga@kcohas.or.tz
- +255755 785 928/+255762437780
Quick links
-
National Council for Technical Education
- Public Service Recruitment Secretariat
-
Ministry of Health
-
Ministry of Education, Science and Technology